Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jengo la Idhaa ya Alkafeel ya wanawake na Maahad ya Alkafeel
Mradi huu umefanywa baada ya mafanikio yaliyo patikana katika Idhaa ya Alkafeel chini ya kitengo cha habari na utamaduni cha Atabatu Abbasiyya tukufu na kupanua wigo wa kazi zake na huduma zake, na kuongeza wasikilizaji wake sambamba na kuifanya iendane na maendeleo ya kielimu yaliyopo katika sekta ya habari, kutokana na udogo wa sehemu ilipo hivi sasa ndani ya Ataba tukufu, imekua ni muhimu kuhamia sehemu nyingine inayo endana na mahitaji hayo, ndipo uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu ukaamua kujenga nyumba mpya ya Idhaa ya Alkafeel itakayo himili upanuzi unaokusudiwa wa studio yenye vifaa vya kisasa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 33
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1