Mradi huu unatekelezwa chini ya maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa kiongozi mkuu wa kisheria Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi na muongozo wa Marjaa Dini mkuu aliyehimiza kusaidia sekta ya afya.
Kwa ukubwa wa vitanda 120: Atabatu Abbasiyya tukufu imefungua jengo la Alhayaat la tano kwa ajili ya
Atabatu Abbasiyya tukufu asubuhi ya Jumamosi mwezi (29 Safar 1442h) sawa na tarehe (17 Oktoba 2020m) imefanya ufunguzi wa jengo la Alhayaat la tano, ambalo ni kituo cha kutibu watu walio ambukizwa virusi vya Korona katik ...
Waziri wa afya: Watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu wamethibitisha kuwa wao ni makamanda wakati wo
Waziri wa afya wa Iraq Dokta Hassan Tamimi amesema kuwa, hakika watumishi wa Atabatu Abbasiyya ni makamanda katika kila wakati, wanastahiki pongezi katika mambo mengi, kama walivyo simama imara kupigana na magaidi wa Dae ...
Kukamilika kazi za sehemu ya tatu na ya mwisho katika mradi wa ujenzi wa kituo cha Alhayaat cha tano
Kitengo cha majengo na uhandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimesema kuwa, siku ya Jumatano mwezi (29 Dhulhijjah 1441h) sawa na tarehe (19 Agosti 2020m), mafundi wake wamekamilisha kazi za sehemu ya tatu na ya mwisho ...