Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Sehemu ya kuoshea na kuzikia watu waliokufa kwa ukonjwa wa Korona
Ujenzi huu umefanywa baada ya maombi yaliyo elekezwa kwa kikosi cha Abbasi kutoka kwa baadhi ya wananchi, ikiwa ni kufuata nyayo za kikosi cha Imamu Ali (a.s) (Liwaau/2 Hashdu-Shaábi) katika makaburi ya Wadi-Salaam mjini Najafu, akasisitiza kuwa wanaangalia uwezekano wa kufanya kazi zote za kuandaa maiti, kuzika na kujengea kaburi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
21-07-2020
20-07-2020
18-07-2020
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 7
Zaidi