Kikosi cha Abbasi cha wapiganaji kimetangaza kuwa kimekamilisha ujenzi wa kituo cha kuoshea maiti (Yaasiin) na kimeanza kufanya shughuli za maziko
20-07-2020
Kikosi cha Abbasi cha wapiganaji kimetangaza kuwa kimekamilisha ujenzi wa kituo cha kuoshea maiti (Yaasiin) na kimeanza kufanya shughuli za maziko
Kamanda wa kikosi cha Abbasi (a.s) cha wapiganaji (Liwaau/26 Hashdu-Shaábi) Maitham Zaidi, ametangaza kukamilika kwa kituo cha kuoshea maiti “Yaasiin” kimepewa jina hilo kwa ajili ya kutafuta baraka za ...