Mradi wa umeme wa jua kwa ajili ya miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Atabatu Abbasiyya tukufu inatumia vitu vya kawaida na kuvifanya kuwa na faida kubwa katika kufanikisha mkakati wa kujitegemea, baada ya kuwa na miradi mingi, ikiwemo miradi ya kilimo, ukizingatia kuwa umeme ni kitu muhimu kwenye utendaji wa miradi, aidha kutokana na umbali wa sehemu inapo fanywa miradi hiyo na mahala umeme uliko, pamoja na ukubwa wa gharama ya kuvuta umeme kwenye miradi hiyo, pamoja na kuingia gharama hizo bado kuna tatizo la kukatika katika kwa umeme, ndipo likaja wazo la kutumia umeme wa jua katika miradi hii, umeme ambao unategemea vyanzo vya kawaida na asilia.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi