Kuanza ukarabati na uwekaji wa vioo kwenye kubba la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa ndani
12-12-2021
Kuanza ukarabati na uwekaji wa vioo kwenye kubba la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa ndani
Watumishi wa kitengo cha usimamizi na ujenzi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya, wameanza kazi ya kukarabati na kuweka vioo kwenye kubba la malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kwa ndani, baada ya kumaliza ukarabati wa u ...