Kitengo cha kutengeneza madirisha kinaendelea na kazi ya dirisha la Sardabu ya Imamu Hussein (a.s)
15-04-2025
Kitengo cha kutengeneza madirisha kinaendelea na kazi ya dirisha la Sardabu ya Imamu Hussein (a.s)
Watumishi wa kitengo cha utengenezaji wa madirisha na milango ya makaburi katika Atabatu Abbasiyya, wanaendelea na kazi ya kufunga dirisha la Sardabu ya Imamu Hussein (a.s).
Rais wa kitengo Sayyid Nadhim Ghurabi amese ...