Kwa ajili ya kuongeza uzuri katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s): imeanza kazi ya kuweka mapambo katika madirisha
24-12-2018
Kwa ajili ya kuongeza uzuri katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s): imeanza kazi ya kuweka mapambo katika madirisha
Wataalamu wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi cha Atabatu Abbasiyya wameanza kazi ya kuweka mapambo katika madirisha ya haram tukufum ya Abulfadhil Abbasi (a.s), ili madirisha hayo yachukue nafasi ya madirisha ya zaman ...