Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Maumbo ya pembe tatu katika madirisha ya jengo la haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Kuweka maumbo ya pembe tatu katika madirisha ya jengo la haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na kuchukua nafasi ya madirisha ya zamani yaliyo wekwa miaka mingi iliyo pita, maumbo hayo yanawekwa kwa ajili ya kupendezesha muonekano na kuweka uwiyano baina yake na sehemu zingine za haram tukufu, kwa kiasi cha kumfurahisha mtazamaji na mazuwaru watukufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
24-12-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 17
Zaidi