Chini ya usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu: Ujenzi wa jengo la vyoo litakalo saidia kuhudumia mazuwaru
21-09-2019
Chini ya usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu: Ujenzi wa jengo la vyoo litakalo saidia kuhudumia mazuwaru
Kwa usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu na kwa ihsani ya mfadhili, umeanza ujenzi wa jengo la vyoo liitwalo (Waahatu-Zaairu) litakalo saidia kutoa huduma mbalimbali, litasaidia ku ...