Jengo la vyoo Waahatu-Zaairu
Chini ya usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya na ufadhili wa muhisani, ujenzi wa jengo la vyoo liitwalo (Waahatu-Zaauru) umeanza, litakua na huduma tofauti, na litasaidia kupunguza msongomano vyooni ambao huwa mkubwa katika ziara vinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu, ukizingatia kua mradi huu upo upande wa mlango wa Bagdad kama unaelekea kwenye malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) na kulikua hakuna jengo lolote la vyoo, baada ya kupata nafasi inayo faa kwa ujenzi huo, ujenzi ulianza mara moja na sasa upo katika hatua ya mwisho.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Kwa picha: Mradi wa Waahatu Zaairu unaendelea.
13-11-2019
Kwa picha: Mradi wa Waahatu Zaairu unaendelea.
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vyoo (Waahatu Zaairu) unaofanywa chini ya usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu uliopo upande wa mlango wa Bagdad kama unaelekea kwenye malalo ya A ...
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 59
Zaidi