Uzinduzi wa taji la dirisha la bibi Zainabu (a.s) lililotengenezwa katika Atabatu Abbasiyya tukufu.
04-03-2020
Uzinduzi wa taji la dirisha la bibi Zainabu (a.s) lililotengenezwa katika Atabatu Abbasiyya tukufu.
Jioni ya jana Jumanne (7 Rajabu 1441h) sawa na (3 Machi 2020m), Atabatu Zainabiyya tukufu imefanya hafla ya kuzindua taji la dirisha la kaburi la bibi Zainabu (a.s) nchini Sirya, lililotolewa na Atabatu Abbasiyya na kute ...