Kwa ukubwa wa vitanda (100): Atabatu Abbasiyya tukufu imezindua jenge la Alhayaat la saba katika mkoa wa Baabil
21-09-2020
Kwa ukubwa wa vitanda (100): Atabatu Abbasiyya tukufu imezindua jenge la Alhayaat la saba katika mkoa wa Baabil
Atabatu Abbasiyya tukufu asubuhi ya Jumatatu mwezi (3 Safar 1442h) sawa na tarehe (21 Septemba 2020m), imezindua jengo la Alhayaat la saba katika mkoa wa Baabil, katika eneo la mji wa Marjani kitabibu, baada ya kukamilis ...