Baada ya Atabatu Abbasiyya tukufu kupokea maombi kutoka kwa viongozi wa idara ya afya ya mkoa wa Baabil ya kujengewa kituo cha kuhudumia watu walio ambukizwa virusi vya Korona, na kuongeza uwezo wa kulaza wagonjwa wa Korona pamoja na kusaidia idara ya afya kwa ujumla, Ataba imeanza ujenzi haraka pamoja na kushughulishwa na ujenzi kama huo kwenye mkoa wa Karbala, Bagdad na Muthanna.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 36
Zaidi