Katika kuboresha asekta ya kilimo: Atabatu Abbasiyya tukufu imeanza kufanya mradi wa kilimo mkakati
02-08-2020
Katika kuboresha asekta ya kilimo: Atabatu Abbasiyya tukufu imeanza kufanya mradi wa kilimo mkakati
Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza kuanza kwa mradi mkubwa wa kilimo mkakati cha mazao tofauti, kama vile ngano, shairi, viazi mbatata na tende katika hatua ya kwanza, mazao yatakayo tosheleza mahitaji ya chakula kwa wa ...