Mradi wa kilimo Al-Awaali
Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza kuanza utekelezaji wa miradi mikubwa ya uzalishaji wa mazao ya kilimo ya kimkakati, kama vile ngano, shairi, mbatata na tende katika hatua ya kwanza, hapo baadae itaongeza mazao mengine muhimu na yenye faida kwa familia za wairaq, kwa kiasi ambacho itasaidia uzalishaji wa ndani na kurudisha hadhi ya kilimo, kwa kunufaika na jangwa la Karbala na kulibadilisha kuwa kijani kibichi kupitia maji ya visima, chini ya mradi unaoitwa (Al-Awaali) unaofanywa na shirika la Liwaau Al-Aalamiyya linalo jihusisha na shughuli za miradi ya kimkakati mikubwa (moja ya mashirika ya Atabatu Abbasiyya tukufu) mradi huu unaendeshwa katika jangwa lililopo kwenye barabara inayo unganisha Karbala na wilaya ya Ainu-Tamru kwa kutumia vifaa vya kisasa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 29
Zaidi