Kwa picha: Mikono ya watumishi wa msimamizi wake imemaliza hatua za mwanzo katika utengenezaji wa dirisha la malalo ya bibi Zainabu (a.s)
26-01-2022
Kwa picha: Mikono ya watumishi wa msimamizi wake imemaliza hatua za mwanzo katika utengenezaji wa dirisha la malalo ya bibi Zainabu (a.s)
Dirisha la malalo ya bibi Zainabu (a.s) limeshuhudia hatua za utengenezaji na uonganishaji wa vipande vyake kwa haraka, sura ya mwisho inaanza kuonekana siku baada ya siku kutokana na kazi ya mikono ya watumishi wa msima ...