Kazi hii imeanza baada ya kazi zingine tangulizi, mafundi wanafanya kila wawezalo kukamilisha mradi huu, utakao ingizwa katika orodha ya mafanikio ya kiwanda hiki, na chini ya mikono ya raia wa Iraq wapenzi na watumishi wa watu wa nyumba ya Mtume (s.a.w.w).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 35
Zaidi