Dirisha la Maqaamu ya Imamu Mahadi (a.f) upande wa wanawake
Umefanyika usanifu wa dirisha sawa na lile lililopo upande wa wanaume, tofauti yake ni vipimo tu, hili linaurefu wa (mt 3.80) na kimo cha (mt 2.95), pia kunatofauti ya idadi ya mikato ya madirisha, ipo mikato minne na inatenganishwa na nguzo ya pambo na nguzo nyingino inayo beba dirisha, halafu kuna milango ubavuni kwake inayo ungana na madirisha, na kutenganishwa na mstari wa maandisi madogo, yanayo taja jina la wahusika walio litengeneza na mwaka wa kutengenezwa kwake.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
Zaidi