Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Nyumba za makazi za Abbasi (a.s)
Katika kuonyesha thamani ya kazi zinazo fanywa na watumishi wa Atabatu Abbasiyya tukufu ya kuhudumia mazuwaru wa Abulfadhil Abbasi (a.s), na kwa ajili ya kuwapatia makazi bora yanayo endana na maendeleo ya dunia, na kutokana na changamoto ya shida ya nyumba za kupanga ikiwa ni pamoja na kupanda kwa kodi kila wakati, na ughali wa ardhi ya Karbala ambayo inapanda bei kila siku, ili kuwafanyia wepesi katika swala la makazi, Atabatu Abbasiyya tukufu imeamua kujenga nyumba za makazi kwa ajili ya watumishi wake, mradi huo unaitwa; mradi wa nyumba za Alkafeel za makazi, wanapangishwa kwa bei ya punguzo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 26
08-08-2017
01-08-2017
01-08-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 489
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 3