Mradi wa kuweka dhahabu katika minara ya malalo ya Sayyid Muhammad bun Imamu Ali Haadi (a.s)
Mradi wa kuweka dhahabu katika minara ya malalo ya Sayyid Muhammad ndio mradi wa kwanza kufanywa nje ya Ataba tukufu, baada ya kupokea maombi rasmi kutoka kwa uongozi wa malalo ya Sayyid Muhammad bun Imamu Haadi (a.s), baada ya kitengo cha wahandisi kufanikiwa kuweka dhahabu katika minara ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na kufuatia wataalamu wake kufanikiwa kufanya kazi hiyo kwa asilimia mia moja (%100) hapa Iraq.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 12
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 107
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1