Mradi huu umefanywa kwa ajili ya kupambana na changamoto ya maji ambayo inakumba dunia nzima kwa ujumla na kwa namna ya pekee taifa la Iraq, kutokana na uharibifu wa vyanzo vya mto wa Dujla na Furaat, kwa hiyo imekua lazima kutafuta maji mbadala ambayo ni maji ya visima, ndipo Atabatu Abbasiyya ikaanzisha mradi huu kwa kushirikiana na ofisi ya mkoa na idara ya kilimo na visima.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 8
Zaidi