Atabatu Abbasiyya tukufu inashuhudia maendeleo makubwa kwenye vitengo vyake vyote, na asilimia kubwa ya vitengo hivyo vipo ndani ya haram tukufu jambo linalo sababisha nafasi kua ndogo kutokana na maendeleo hayo, kwa ajili ya kuwapa fursa zaidi mazuwaru na kuifanya haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s) kua mahala pa kufanya ziara na ibada, uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umeamua kujenga jingo maalum kwa ajili ya vitengo na idara zake zote ili zifanye kazi ndani ya jingo moja chini ya utaratibu wa kitaasisi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 11
Hatua ya mwisho katika ujenzi wa jengo la ofisi za Atabatu Abbasiyya tukufu
27-12-2020
Hatua ya mwisho katika ujenzi wa jengo la ofisi za Atabatu Abbasiyya tukufu
Mafundi wanaofanya kazi katika jengo la ofisi za Atabatu Abbasiyya tukufu wapo katika hatua ya mwisho, litaongeza sehemu za kuhudumia mazuwaru ndani ya haram tukufu ya Abulfadhil Abbasi (a.s), kwani idadi kubwa ya viteng ...
Zaidi