Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Kituo cha utamaduni na huduma za Atabatu Abbasiyya tukufu jengo la kwanza
Mradi huu ni sehemu ya muendelezo wa miradi inayo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu katika majengo ya chini ya shule za (awali, msingi na sekondari + kituo cha utamaduni) kwa ajili ya kutoa huduma kivitendo kwa kutumia vifaa na njia za kisasa zinazo saidia kumjenga mtu bila kuathiriwa na utamaduni wa nje unaonyemelea jamii ya wairaq, na kusaidia kuwalinda kielimu, kiislamu na malezi yenye maadili ya kiislamu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 16
14-10-2021
14-10-2021
02-05-2021
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 156
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 3