Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kupanua Maqaam ya Imamu Mahadi (a.f)
Baada ya mafundi wa Atabatu Abbasiyya tukufu kumaliza mradi wa kukarabati Maqaam ya Imamu Mahadi (a.s) mwaka mmoja na zaidi uliopita, leo hii wameanza mradi mwingine wa upanuzi wa Maqaam hiyo, kwa kuongeza eneo lingine litakalo wezesha kuingia idadi kubwa ya mazuwaru, ukizingatia kua Maqaam hiyo huwa na msongamano mkubwa wa watu hasa katika kipindi cha ziara zinazo hudhuriwa na mamilioni ya watu, ikiwemo ziara ya nusu ya mwezi wa Shabani, eneo lililo ongezwa ni lile la upande wa mto (mto wa Husseiniyya) unaopita mahala ilipo Maqaam.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 15
04-02-2021
05-02-2020
11-11-2019
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 198
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 7