Hatua ya mwisho… mradi wa kupanua Maqamu ya Imamu Mahadi (a.f) siku baada ya siku unaelekea kukamilika
22-07-2019
Hatua ya mwisho… mradi wa kupanua Maqamu ya Imamu Mahadi (a.f) siku baada ya siku unaelekea kukamilika
Kazi ya upanuzi wa Maqamu ya Imamu Mahadi (a.f) imepiga hatua kubwa, inaelekea kukamilika siku baada ya siku, muonekano wa mwisho umeanza kudhihiri, baada ya kukamilika vitu vingi katika ujenzi huo, yakiwa ni matunda ya ...