Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa magodauni (majengo ya kwanza/ sehemu ya Alwafaa)
Mradi huu ni sehemu ya mfululizo wa miradi inayo fanywa na Atabatu Abbasiyya tukufu katika sekta ya magodauni na viwanda ambazo ni sekta muhimu katika maendeleo kwa ujumla, mradi wa majengo ya viwanda na magodauni (Alwafaa) unajengwa katika eneo la Ibrahimiyya kusini ya Karbala.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
23-05-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 48
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 2