Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa matangazo mubashara (SNG)
Mradi huu una kamera kumi na moja (Motorized Camera) zilizo wekwa sehemu mbalimbali ndani ya Ataba tukufu zinazo tumiwa kwa mbali, pamoja na kamera zingine tano na mtambo wa kisasa. Unao wezesha kurusha mambo yote yanayo fanywa ndani ya Ataba tukufu kwa kutumia (SNG) kama vile: (swala za jamaa, ratiba za kiibada, makongamano, mikutano, vikao vya uombolezaji na mengineyo), matangazo hayo yana ubora mkubwa na hurekodiwa kwa kutumia mitambo ya kisasa yenye uwezo mkubwa.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
18-01-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 32
Zaidi