Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mlango wa haram ya Sayyid Muhammad (a.s)
Mlango mpya wa malalo ya Sayyid Muhammad bun Imamu Ali Haadi (a.s) (Mlango wa Hamdi) uliotengenezwa katika kiwanda cha (Atabatu Abbasiyya cha kutengeneza milango na madirisha ya makaburi na mazaru matukufu) unachukua nafasi ya mlango ulio shambuliwa na magaidi katika malalo tukufu mwezi wa saba mwaka 2016m, pia umetolewa kama zawadi kutoka kwa watumishi wa Abulfadhil Abbasi (a.s).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
21-01-2018
18-09-2017
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 76
Zaidi