Kutokana na utalamu wa wairaq na watumishi wa Abbasi, mlango wa Hamdi unanyoosha mikono yake kukaribisha wageni wa malamo ya Sayyid Muhammad (a.s)…
21-01-2018
Kutokana na utalamu wa wairaq na watumishi wa Abbasi, mlango wa Hamdi unanyoosha mikono yake kukaribisha wageni wa malamo ya Sayyid Muhammad (a.s)…
Baada ya kumaliza kutengeneza mlango mpya wa malalo ya Sayyid Muhammad bun Imamu Ali Haadi (a.s) (Mlango wa Hamdi) ulio tengenezwa katika kiwanda cha Atabatu Abbasiyya tukufu cha kutengeneza milango na madirisha ya makab ...