Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Dirisha la kaburi la Maqaam Swafi-Swafa
Uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya tukufu umekubaliana na uongozi mkuu wa Mazaru tukufu za kishia kuandaa mchoro na kuunda dirisha la mazaru ya Maqaam ya kiongozi wa waumini (a.s) na malalo ya (Athibu Alyamani) anayejulikana kama Swafi-Swafa (r.a) katika mkoa wa Najafu. Makubaliano haya yamefanyika baada ya mafundi wa kutengeneza madirisha ya kwenye makaburi wanaofanya kazi katika Atabatu Abbasiyya tukufu kupata uzowefu mkubwa katika kazi hiyo, na kuwa na uwezo mkubwa wa kufanya kazi za aina hiyo nje ya Ataba, hii ni mara ya kwanza ambayo chombo cha kiiraq kupitia watumishi wazalendo kina andaa mchoro na kutengeneza dirisha la kaburi, siku za nyuma kazi hizi zilikua zinafanywa nje ya Iraq.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 11
07-02-2020
02-02-2020
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 151
Zaidi