Kuunganisha sardabu mbili ya Imamu Hussein na Imamu Jawaad (a.s) pamoja na sardabu za nje katika eneo lililo ongezwa
Katika kukamilisha miradi ya ujenzi inayo endelea ndani ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), na kuweka mazingira unganishi baina ya majengo, hususan mradi wa upanuzi wa sardabu na haram tukufu, kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya kimeanza kutekeleza mradi muhimu wa kuunganisha sardabu ya Imamu Hussein na ile ya Imamu Haadi (a.s) pamoja na sardabu za nje katika eneo lililo ongezwa na maeneo jirani, kwa ajili ya kumrahisishia zaairu kuingia na kwenda popote atakapo ndani ya sardabu hizo bila usumbufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 3
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 46
Zaidi