Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza kuanza utekelezaji wa mradi mkubwa wa kilimo, viwanda na ufugaji, katika jangwa la Karbala na kulibadilisha kua kijani kibichi, kwa kutumia maji ya visima, mradi huo unaitwa (Firdaus) kwenye eneo lenye ukubwa wa dunam (760) sawa na mita za mraba (1,900,000).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 5
Mradi wa firdausi wa shamba darasa la jangwani
15-12-2020
Mradi wa firdausi wa shamba darasa la jangwani
Idara ya maelekezo na mafunzo ya kilimo katika mkoa mtukufu wa Karbala, kupitia shamba darasa/ kwa kushirikiana na Atabatu Abbasiyya tukufu, wamefanya kilimo cha shamba la Firdausi ambalo ni (moja ya mradi muhimu kimkaka ...
Mradi wa Firdaus umekamilisha uvunaji wa dunam (400) za ngano
19-05-2020
Mradi wa Firdaus umekamilisha uvunaji wa dunam (400) za ngano
Idara ya mradi wa kilimo Firdaus chini ya shirika la Liwaau katika Atabatu Abbasiyya tukufu, imetangaza kumaliza msimu wa uvunaji wa ngano aina ya (Buhuth 22) katika shamba la umwagiliaji wa maji ya visima lenye ukubwa w ...
Shamba la Firdausi linajitahidi kukidhi mahitaji ya soko la ndani
01-05-2020
Shamba la Firdausi linajitahidi kukidhi mahitaji ya soko la ndani
Shamba la Firdausi linajitahidi kukidhi mahitaji ya soko la ndani la viazi mbatata na kutotegemea viazi vya kutoka nje, hususan katika mazingira ambayo taifa linapitia kwa sasa.
Mhandisi bwana Aadil Maliki mkuu wa shi ...
Zaidi