Mradi wa kujenga kumbi na maabara ya chuo kikuu cha Al-Ameed
Miongoni mwa miradi muhimu ya chuo, itakayo saidia kupokea idadi kubwa ya wanafunzi inayo endana na upanuzi wake, chini ya mkakati maalum wa kuongeza majengo ya chuo.
Kitengo cha usimamizi wa kihandisi: kinaendelea kijenga kumbi za maabara katika chuo kikuu cha Al-Am
Mafundi wa kitengo cha usimamizi wa kihandisi katika Atabatu Abbasiyya tukufu wanaendelea na ujenzi wa kumbi za maabara katika chuo kikuu cha Al-Ameed, hadi sasa wamesha kamilisha asilimia tisini (90%).
Mradi umewekwa ...