Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mitambo ya Oksijen katika mkoa wa Dhiqaar
Atabatu Abbasiyya tukufu asubuhi ya leo mwezi (9 Dhulqaada 1441h) sawa na tarehe (1 Julai 2020m) imeanza kufunga mitambo ya Oksijen katika hospitali ya Hussein (a.s) mkoani Dhiqaar, kufuatia maelekezo ya moja kwa moja kutoka kwa Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi baada ya idara ya Ataba kupokea maombi ya mitambo ya gesi ya Oksijen kwa ajili ya kusaidia wagonjwa wa Korona waliolazwa kwenye hospitali hiyo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
01-07-2020
01-07-2020
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 20
Zaidi