Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya ametembelea kiwanda cha Nuur cha utengenezaji wa panel za umeme wa jua
18-04-2025
Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya ametembelea kiwanda cha Nuur cha utengenezaji wa panel za umeme wa jua
Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya, muheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi, ametembelea kiwanda cha Nuur cha utengenezaji wa panel za umeme wa jua.
Katika matembezi hayo, Muheshimiwa amefuatana na rais wa kit ...