Hatua iliyo fikiwa katika ujenzi wa sehemu kubwa ya dhahabu kwenye malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
13-03-2020
Hatua iliyo fikiwa katika ujenzi wa sehemu kubwa ya dhahabu kwenye malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s)
Rais wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya Mhandisi Dhiyaau Majidi Swaaigh, ameongea kuhusu kazi zinazofanywa katika mradi wa uwekaji mkubwa wa dhahabu katika malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s), wame ...