Hatua ya pili ya mradi wa kuimarisha na kuweka dhahabu katika Twarima la kaburi la Abulfadhil Abbasi (a.s)
Hatua ya pili ya mradi wa kuimarisha na kuweka dhahabu kwenye ukuta wa dhahabu au sehemu inayo julikana kwa jina la (Twarima) inahusisha mlango mkuu wa kuingia ndani ya haram, mkabala na mlango wa Kibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s) baada ya kumaliza hatua ya kwanza iliyo husisha sehemu za pembezoni mwa mlango huo kulia na kushoto.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 13
Zaidi