Utangulizi wa mradi wa kilimo cha mfano kwa mara ya kwanza hapa Iraq: Atabatu Abbasiyya tukufu yaanzisha shamba la mfano la kunazi
01-01-2019
Utangulizi wa mradi wa kilimo cha mfano kwa mara ya kwanza hapa Iraq: Atabatu Abbasiyya tukufu yaanzisha shamba la mfano la kunazi
Miongoni mwa mfululizo wa miradi ya kilimo inayo fanyika, ambayo ndio msingi wa kuendelea katika miradi mingine inayo lenga kuboresha sekta ya kilimo hapa nchini na kulitoa taifa katika uakizaji wa bidhaa za kilimo nje y ...