Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Shamba la mfano la kunazi
Miongoni mwa miradi ya kilimo cha kisasa kilicho pamgwa kua msingi wa kuendeleza sekta ya kilimo hapa nchini, na kutoka katika uagizaji wa bidhaa za kilimo nje ya nchi na kua wazalishaji, Atabatu Abbasiyya tukufu imeandaa shamba darasa lenye ukubwa wa dunam (70) na kupanda aina adumu ya kunazi, mradi huu pia unafanywa kama sehemu ya kubadilisha jangwa kua kijani kibichi na kuifanyia kazi hadithi isemayo: (Ardhi ni ya atakaye ihuisha).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 2
30-05-2020
01-01-2019
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 35
Zaidi