Kwa ukubwa wa mita 105/ kwa saa: Atabatu Abbasiyya tukufu imeijengea hospitali ya Swadir katika mji wa Najafu kiwanda cha kuzalisha Oksijen ya tiba
25-09-2020
Kwa ukubwa wa mita 105/ kwa saa: Atabatu Abbasiyya tukufu imeijengea hospitali ya Swadir katika mji wa Najafu kiwanda cha kuzalisha Oksijen ya tiba
Kwa maelekezo ya moja kwa moja kutoka ofisi ya Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani, kimejengwa kiwanda cha kuzalisha Oksijen ya tiba katika hospitali ya Swadir mkoani Najafu, yamesemwa hayo na muwakilishi wake S ...