Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mtambo wa kuzalisha oksijen katika hospitali ya Swadr mkoani Najafu
Kazi hii ni sehemu ya juhudi za Atabatu Abbasiyya tukufu ya kusaidia sekta ya afya kupambana na janga la virusi vya Korona, jambo hili linatokana na maelekezo ya moja kwa moja kutoka ofisi ya Marjaa Dini mkuu na kusimamiwa na kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi na watendaji wa mradi ni watumishi wa kitengo cha uhandisi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 1
25-09-2020
Zaidi