Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Sehemu mpya ya chuo kikuu cha Al-Ameed
Sehemu mpya inamajengo saba kwa ajili ya kitivo cha udaktari wa meno, uuguzi na vitivo vingine viwili, pamoja na maabara zake na maabara kuu, jengo moja la utawala na jengo lingine la maktaba kuu, pamoja na sehemu ya bustani na maeneo ya kupumzika yote kwa ujumla yanakadiriwa kuwa zaidi ya dunam (40), muda wa ujenzi unaokadiriwa ni miaka mitatu, kinatarajiwa kuwa kitovu cha elimu katika mkoa wa Karbala, aidha kinajengwa kwa kufuata vigezo vya kimataifa na masharti ya wizara ya elimu ya juu na tafiti za kielimu, sambamba na kuweka mazingira bora ya kujisomea kwa wanafunzi watukufu.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
23-03-2022
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 39
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1