Usanifu na ujenzi bora.. kazi inaendelea katika mradi wa ujenzi wa vitivo vya chuo kikuu kipya cha Al-Ameed
23-03-2022
Usanifu na ujenzi bora.. kazi inaendelea katika mradi wa ujenzi wa vitivo vya chuo kikuu kipya cha Al-Ameed
Kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya kinaendelea na ujenzi wa majengo ya vitivo vya chuo kikuu cha Al-Ameed, kilichopo katika eneo la Ibrahimiyya katika barabara ya (Baabil – Karbala), kama yali ...