Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa jengo la Atabatu Abbasiyya tukufu
Mradi wa kuweka marumaru na kukarabati jengo wenye sehemu (57) katika kila ghorofa, ni moja ya hatua muhimu katika mradi wa upanuzi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) katika upande wa kupauwa uwanja wa haram tukufu, ni moja ya kazi inayo pendezesha muonekano wa haram, pia kuna uwiyano kati ya muonekano wa zamani na wasasa, kazi hiyo inafanywa kwa kubadilisha Kashi Karbalai za zamani na kuweka mpya, eneo jipya la Kashi Karbalai linaukubwa wa 2m 10000 katika ghorofa.. uongozi mkuu wa Atabatu Abbasiyya umefanya kazi kubwa ya kufanikisha hili, katika muonekano ule ule uliopa kwenye ghorofa ya kwanza na tabaka la chini, mradi huu unafanywa na shirika la ujenzi la ardhi tukufu, chini ya usimamizi wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 21
23-04-2019
12-03-2019
24-12-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 45
Zaidi