Mradi wa kituo maalum cha umeme wa nyumba za makazi Alkafeel
Kwa ajili ya kua na umeme wa uhakika, kitengo cha miradi ya kihandisi chini ya Atabatu Abbasiyya baada ya kushauriana na sekta zingine, kimechukua jukumu la kutengeneza kituo maalum cha kuzalisha umeme kwa ajili ya nyumba za Alkafeel zilizo jengwa kwa ajili ya makazi ya watumishi wake, ambapo kuna jumla ya nyumba (831).
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 4
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 24
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 1