Atabatu Abbasiyya tukufu imefikia asilimia (%95) katika ujenzi wa kituo cha umeme
02-06-2020
Atabatu Abbasiyya tukufu imefikia asilimia (%95) katika ujenzi wa kituo cha umeme
Rais wa kitengo cha miradi ya kihandisi katika Atabatu Abbasiyya Mhandisi Dhiyaau Majidi Swaaigh amesema kuwa ujenzi wa kituo cha umeme umekamilika kwa asilimia %95, kituo hicho kitahudumia mkoa wa Karbala na kitasadia k ...