Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Jengo la shule 2
Jengo la shule la pili linakuja kukamilisha jengo la kwanza lililoanza kujengwa miezi kadhaa iliyopita, mradi huu unajumuisha shule za wavulana, wasichana na shule za awali (chekechea), kumbi za michezo pamoja na huduma zingine katika kila kitengo kwa usanifu bora kabisa wa kihandisi.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 8
04-04-2021
03-04-2021
26-07-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 82
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 3