Miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu
Jengo jipya la chuo kikuu cha Alkafeel katika mkoa wa Najafu
Miongoni mwa mfululizo wa miradi ya kielimu hapa Iraq, na kuendana na maendeleo ya dunia katika sekta hiyo, Atabatu Abbasiyya tukufu imechukua hatua ya kujenga chuo kikuu katika mkoa wa Najafu chinye vitivo tofauti, kuna masomo ya muda mfupi na muda mrefu, kituo hiki cha elimu ni matokeo ya mbegu iliyo pandwa na Atabatu Abbasiyya katika mkoa wa Najafu ambayo ni chuo cha Alkafeel, kilicho jizolea sifa kubwa ndani ya muda mfupi kutokana na kuwa na mazingira bora kielimu kwa kuchagua wakufunzi wazuri, pamoja na kua na eneo dogo. Ndipo kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu kikachukua maamuzi ya kubadilika kutoka kwenye chuo hadi chuo kikuu, kwa kuongeza idadi ya vitivo (michepuo ya masomo) na majengo.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 15
23-02-2019
13-02-2019
17-12-2018
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 127
Zaidi