Kuweka marumaru katika haram ya Abbasi (a.s)
Ukumbi wa haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), umeshuhudia utekelezwaji wa miradi mingi iliyo fanywa kwa wakati na sehemu muwafaka kwa kila mradi, kama vile mradi wa upanuzi wa haram, uwekaji paa katika haram, kuweka marumaru kwenye sehemu za majengo, ujenzi wa sardabu ndani ya haram, utengenezaji wa dirisha tukufu, mfumo wa viyoyozi, mfumo wa zima moto na utowaji wa tahadhari na miradi mingine mingi nafasi haitoshi kutaja yote, miradi hiyo inahitimishwa na mradi wa kuweka marumaru katika haram tukufu, mara ya mwisho haram hii iliwekwa marumaru miaka ya sabini karne iliyo pita.
Zaidi kuhusu mradi
Idadi za habari 22
Zaidi
Picha za mradi
Idadi ya picha 235
Zaidi
Video za mradi
Vipande vya video 9